Native Bible

Isaiah 26:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: Tuna mji ulio na nguvu, Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake.

Isaiah 26:1 in English

Isaiah 26:1 · Berean Standard Bible

In that day this song will be sung in the land of Judah: We have a strong city; salvation is established as its walls and ramparts.

Context

1Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: Tuna mji ulio na nguvu, Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake. 2Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, taifa lile lidumishalo imani. 3Utamlinda katika amani kamilifu yeye ambaye moyo wake ni thabiti kwa sababu anakutumaini wewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.