Isaya 18:1
Isaiah 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa,* kando ya mito ya Kushi,
Isaiah 18:1 in English
Isaiah 18:1 · Berean Standard Bible
Woe to the land of whirring wings,* along the rivers of Cush,*
Context
1Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa,*
kando ya mito ya Kushi, 2iwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari
kwa mashua za mafunjo juu ya maji.
Nendeni, wajumbe wepesi,
kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo,
kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu,
taifa gomvi lenye lugha ngeni,
ambalo nchi yao imegawanywa kwa mito. 3Enyi mataifa yote ya ulimwengu,
ninyi mnaoishi duniani
wakati bendera itakapoinuliwa milimani,
mtaiona,
nayo tarumbeta itakapolia,
mtaisikia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.