Isaya 12:6
Isaiah 12:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Isaiah 12:6 in English
Isaiah 12:6 · Berean Standard Bible
Cry out and sing, O citizen of Zion, for great among you is the Holy One of Israel.”
Context
4Katika siku hiyo mtasema:
“Mshukuruni Bwana, mliitie jina lake;
julisheni miongoni mwa mataifa yale aliyoyafanya,
tangazeni kuwa jina lake limetukuka. 5Mwimbieni Bwana, kwa kuwa ametenda mambo makuu,
hili na lijulikane duniani kote. 6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni,
kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.