Native Bible

Isaiah 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda.

Isaiah 11:1 in English

Isaiah 11:1 · Berean Standard Bible

Then a shoot will spring up from the stump of Jesse, and a Branch from his roots will bear fruit.

Context

1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 2Roho wa Bwana atakaa juu yake, Roho wa hekima na wa ufahamu, Roho wa shauri na wa uweza, Roho wa maarifa na wa kumcha Bwana 3naye atafurahia kumcha Bwana. Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.