Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kila mara nilipotaka kumponya Israeli, dhambi za Efraimu zinafichuliwa na maovu ya Samaria yanafunuliwa. Wanafanya udanganyifu, wevi huvunja nyumba, maharamia hunyangʼanya barabarani,

Hosea 7:1 in English

Hosea 7:1 · Berean Standard Bible

When I heal Israel, the iniquity of Ephraim * will be exposed, as well as the crimes of Samaria. For they practice deceit and thieves break in; bandits raid in the streets.

Context

1kila mara nilipotaka kumponya Israeli, dhambi za Efraimu zinafichuliwa na maovu ya Samaria yanafunuliwa. Wanafanya udanganyifu, wevi huvunja nyumba, maharamia hunyangʼanya barabarani, 2lakini hawafahamu kwamba ninakumbuka matendo yao yote mabaya. Dhambi zao zimewameza, ziko mbele zangu siku zote. 3“Wanamfurahisha sana mfalme kwa maovu yao, wakuu wao kwa uongo wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.