Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeona jambo la kutisha katika nyumba ya Israeli. Huko Efraimu amejitolea kwa ukahaba na Israeli amenajisika.

Hosea 6:10 in English

Hosea 6:10 · Berean Standard Bible

In the house of Israel I have seen a horrible thing: Ephraim practices prostitution there, and Israel is defiled.

Context

8Gileadi ni mji wenye watu waovu, umetiwa madoa kwa nyayo za damu. 9Kama wanyangʼanyi wamviziavyo mtu, ndivyo magenge ya makuhani wafanyavyo; wanaulia watu kwenye njia iendayo Shekemu, wakifanya uhalifu wa aibu. 10Nimeona jambo la kutisha katika nyumba ya Israeli. Huko Efraimu amejitolea kwa ukahaba na Israeli amenajisika. 11“Pia kwa ajili yako, Yuda, mavuno yameamriwa. “Wakati wowote ningerejesha neema ya watu wangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.