Waebrania 4:6
Hebrews 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo inabaki kuwa wazi kwa wengine kuingia, nao wale wa kwanza waliopokea Injili walishindwa kuingia kwa sababu ya kutokutii.
Hebrews 4:6 in English
Hebrews 4:6 · Berean Standard Bible
Since, then, it remains for some to enter His rest, and since those who formerly heard the good news did not enter because of their disobedience,
Context
4Kwa maana mahali fulani amezungumza kuhusu siku ya saba, akisema: “Katika siku ya saba Mungu alipumzika kutoka kazi zake zote.” 5Tena hapo juu asema, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.” 6Kwa hiyo inabaki kuwa wazi kwa wengine kuingia, nao wale wa kwanza waliopokea Injili walishindwa kuingia kwa sababu ya kutokutii. 7Kwa hiyo Mungu ameweka siku nyingine, akaiita Leo, akisema kwa kinywa cha Daudi baadaye sana, kwa maneno yaliyotangulia kunenwa:
“Leo, kama mkiisikia sauti yake,
msiifanye mioyo yenu migumu.” 8Kwa maana kama Yoshua alikuwa amewapa raha, Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.