Waebrania 3:9
Hebrews 3:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu.
Hebrews 3:9 in English
Hebrews 3:9 · Berean Standard Bible
where your fathers tested and tried Me, and for forty years saw My works.
Context
7Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo:
“Leo, kama mkiisikia sauti yake, 8msiifanye mioyo yenu migumu,
kama mlivyofanya katika uasi,
wakati ule wa kujaribiwa jangwani, 9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima
ingawa kwa miaka arobaini
walikuwa wameyaona matendo yangu. 10Hiyo ndiyo sababu nilikasirikia kizazi kile,
nami nikasema, ‘Siku zote mioyo yao imepotoka,
nao hawajazijua njia zangu.’ 11Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu,
‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.