Native Bible

Hebrews 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Hebrews 3:19 in English

Hebrews 3:19 · Berean Standard Bible

So we see that it was because of their unbelief that they were unable to enter.

Context

17Lakini ni nani aliowakasirikia miaka arobaini? Je, si wale waliofanya dhambi ambao miili yao ilianguka jangwani? 18Ni nani hao ambao Mungu aliapa kuwa kamwe hawataingia rahani mwake isipokuwa ni wale waliokataa kutii? 19Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.