Waebrania 13:14
Hebrews 13:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao.
Hebrews 13:14 in English
Hebrews 13:14 · Berean Standard Bible
For here we do not have a permanent city, but we are looking for the city that is to come.
Context
12Vivyo hivyo, Yesu naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe. 13Kwa hiyo, basi na tumwendee nje ya kambi, tukiichukua aibu aliyobeba. 14Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao. 15Basi kwa njia ya Yesu, tuzidi kumtolea Mungu dhabihu ya sifa, yaani matunda ya midomo inayolikiri Jina lake. 16Na msiache kutenda mema na kushirikiana vile vitu mlivyo navyo, kwa kuwa dhabihu kama hizo ndizo zinazompendeza Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.