Native Bible

Hebrews 13:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vivyo hivyo, Yesu naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe.

Hebrews 13:12 in English

Hebrews 13:12 · Berean Standard Bible

And so Jesus also suffered outside the city gate, to sanctify the people by His own blood.

Context

10Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake. 11Kuhani mkuu huchukua damu ya wanyama na kuiingiza Patakatifu pa Patakatifu, kama sadaka ya dhambi, lakini miili ya hao wanyama huteketezwa nje ya kambi. 12Vivyo hivyo, Yesu naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe. 13Kwa hiyo, basi na tumwendee nje ya kambi, tukiichukua aibu aliyobeba. 14Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.