Waebrania 11:2
Hebrews 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya.
Hebrews 11:2 in English
Hebrews 11:2 · Berean Standard Bible
This is why the ancients were commended.
Context
1Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana. 2Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya. 3Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana. 4Kwa imani Abeli alimtolea Mungu dhabihu bora zaidi kuliko Kaini. Kwa imani alishuhudiwa kuwa mwenye haki, Mungu mwenyewe akazishuhudia sadaka zake. Kwa imani bado ananena ingawa amekufa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.