Native Bible

Hebrews 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana.

Hebrews 11:1 in English

Hebrews 11:1 · Berean Standard Bible

Now faith is the assurance of what we hope for and the certainty of what we do not see.

Context

1Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana. 2Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya. 3Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.