Native Bible

Habakkuk 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sala ya nabii Habakuki iliyoimbwa kwa shigionothi.*

Habakkuk 3:1 in English

Habakkuk 3:1 · Berean Standard Bible

This is a prayer of Habakkuk the prophet, according to Shigionoth:*

Context

1Sala ya nabii Habakuki iliyoimbwa kwa shigionothi.* 2Bwana, nimezisikia sifa zako; nami naogopa kwa matendo yako, Ee Bwana. Fufua kazi yako katikati ya miaka, katikati ya miaka tangaza habari yako; katika ghadhabu kumbuka rehema. 3Mungu alitoka Temani, yeye Aliye Mtakatifu kutoka Mlima Parani. Utukufu wake ulifunika mbingu, na sifa zake zikaifunika dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.