Native Bible

Genesis 50:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Yosefu akamwangukia baba yake, akalilia juu yake na akambusu.

Genesis 50:1 in English

Genesis 50:1 · Berean Standard Bible

Then Joseph fell upon his father’s face, wept over him, and kissed him.

Context

1Basi Yosefu akamwangukia baba yake, akalilia juu yake na akambusu. 2Ndipo Yosefu akawaagiza matabibu waliokuwa wakimhudumia, wamtie baba yake Israeli dawa ili asioze. Hivyo matabibu wakamtia dawa asioze, 3wakatumia siku arobaini, kwa maana ndio muda uliotakiwa wa kutia dawa ili asioze. Nao Wamisri wakamwombolezea Yakobo kwa siku sabini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.