Mwanzo 48:1
Genesis 48:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya muda Yosefu akaambiwa kwamba, “Baba yako ni mgonjwa.” Kwa hiyo akawachukua wanawe wawili Manase na Efraimu, pamoja naye.
Genesis 48:1 in English
Genesis 48:1 · Berean Standard Bible
Some time later Joseph was told, “Your father is ill.” So he set out with his two sons, Manasseh and Ephraim.
Context
1Baada ya muda Yosefu akaambiwa kwamba, “Baba yako ni mgonjwa.” Kwa hiyo akawachukua wanawe wawili Manase na Efraimu, pamoja naye. 2Yakobo alipoambiwa, “Mwanao Yosefu amekujia kukuona,” Israeli akakusanya nguvu zake, akaketi kitandani. 3Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu Mwenyezi* alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani, huko akanibariki,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.