Native Bible

Genesis 47:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake.

Genesis 47:10 in English

Genesis 47:10 · Berean Standard Bible

Then Jacob blessed Pharaoh and departed from his presence.

Context

8Farao akamuuliza, “Je una umri gani?” 9Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.” 10Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake. 11Ndipo Yosefu akawakalisha baba yake na ndugu zake katika nchi ya Misri na kuwapa milki katika sehemu bora sana ya nchi, wilaya ya Ramesesi, kama Farao alivyoelekeza. 12Pia Yosefu akampa baba yake, na ndugu zake na wote wa nyumbani mwa baba yake vyakula, kwa kulingana na hesabu ya watoto wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.