Mwanzo 42:10
Genesis 42:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamjibu, “Sivyo bwana wangu. Watumishi wako wamekuja kununua chakula.
Genesis 42:10 in English
Genesis 42:10 · Berean Standard Bible
“Not so, my lord,” they replied. “Your servants have come to buy food.
Context
8Ingawa Yosefu aliwatambua ndugu zake, wao hawakumtambua. 9Ndipo Yosefu alipokumbuka ndoto zake kuwahusu wao, akawaambia, “Ninyi ni wapelelezi! Mmekuja kuangalia mahali ambapo nchi yetu haina ulinzi.” 10Wakamjibu, “Sivyo bwana wangu. Watumishi wako wamekuja kununua chakula. 11Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Watumishi wako ni watu waaminifu, wala sio wapelelezi.” 12Akawaambia, “La hasha! Mmekuja kuangalia mahali ambapo nchi yetu haina ulinzi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.