Native Bible

Genesis 40:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yosefu, bali alimsahau.

Genesis 40:23 in English

Genesis 40:23 · Berean Standard Bible

The chief cupbearer, however, did not remember Joseph; he forgot all about him.

Context

21Ndipo akamrudisha mnyweshaji mkuu kwenye nafasi yake, ili aweke kikombe mikononi mwa Farao tena, 22lakini akamwangika yule mwokaji mkuu, sawasawa na jinsi Yosefu alivyowaambia katika tafsiri yake. 23Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yosefu, bali alimsahau.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.