Native Bible

Genesis 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adamu akakutana kimwili na mkewe Eva, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Eva akasema, “Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume.”

Genesis 4:1 in English

Genesis 4:1 · Berean Standard Bible

And Adam had relations with his wife Eve, and she conceived and gave birth to Cain.* “With the help of the LORD I have brought forth a man,” she said.

Context

1Adamu akakutana kimwili na mkewe Eva, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Eva akasema, “Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume.” 2Baadaye akamzaa Abeli ndugu yake. Basi Abeli akawa mfugaji, na Kaini akawa mkulima. 3Baada ya muda Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba kama sadaka kwa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.