Native Bible

Genesis 37:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi.

Genesis 37:1 in English

Genesis 37:1 · Berean Standard Bible

Now Jacob lived in the land where his father had resided, the land of Canaan.

Context

1Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi. 2Zifuatazo ni habari za Yakobo. Yosefu, kijana wa miaka kumi na saba, alikuwa akichunga makundi ya kondoo na mbuzi pamoja na ndugu zake wa mama wengine, yaani wana wa Bilha na wana wa Zilpa wake za baba yake, naye akawa akimletea baba yake taarifa mbaya kuhusu hao ndugu zake. 3Basi, Israeli akampenda Yosefu kuliko yeyote miongoni mwa kaka zake, kwani ni mwanawe wa uzeeni, akamshonea joho lililorembwa vizuri sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.