Mwanzo 35:29
Genesis 35:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Isaki akapumua pumzi yake ya mwisho akafa, akakusanywa pamoja na watu wake akiwa mzee wa miaka mingi. Nao wanawe Esau na Yakobo wakamzika.
Genesis 35:29 in English
Genesis 35:29 · Berean Standard Bible
Then he breathed his last and died and was gathered to his people, old and full of years. And his sons Esau and Jacob buried him.
Context
27Yakobo akarudi nyumbani kwa baba yake Isaki huko Mamre, karibu na Kiriath-Arba (yaani Hebroni), ambapo walikuwa wameishi Abrahamu na Isaki. 28Isaki aliishi miaka 180. 29Kisha Isaki akapumua pumzi yake ya mwisho akafa, akakusanywa pamoja na watu wake akiwa mzee wa miaka mingi. Nao wanawe Esau na Yakobo wakamzika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.