Mwanzo 35:25
Genesis 35:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: Dani na Naftali.
Genesis 35:25 in English
Genesis 35:25 · Berean Standard Bible
The sons of Rachel’s maidservant Bilhah were Dan and Naphtali.
Context
23Wana wa Lea walikuwa:
Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo,
Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 24Wana wa Raheli walikuwa:
Yosefu na Benyamini. 25Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa:
Dani na Naftali. 26Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa:
Gadi na Asheri.
Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu. 27Yakobo akarudi nyumbani kwa baba yake Isaki huko Mamre, karibu na Kiriath-Arba (yaani Hebroni), ambapo walikuwa wameishi Abrahamu na Isaki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.