Mwanzo 34:31
Genesis 34:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wakamjibu, “Je, ilikuwa vyema kumtendea dada yetu kama kahaba?”
Genesis 34:31 in English
Genesis 34:31 · Berean Standard Bible
But they replied, “Should he have treated our sister like a prostitute?”
Context
29Walichukua utajiri wao wote pamoja na wanawake na watoto wao, wakachukua nyara kila kitu ndani ya nyumba zao. 30Kisha Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi, “Mmeleta taabu kwangu kwa kunifanya ninuke kama uvundo kwa Wakanaani na Waperizi, watu waishio katika nchi hii. Sisi ni wachache, kama wakiunganisha nguvu zao dhidi yangu na kunishambulia, mimi na nyumba yangu tutaangamizwa.” 31Lakini wakamjibu, “Je, ilikuwa vyema kumtendea dada yetu kama kahaba?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.