Mwanzo 34:17
Genesis 34:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.”
Genesis 34:17 in English
Genesis 34:17 · Berean Standard Bible
But if you will not agree to be circumcised, then we will take our sister and go.”
Context
15Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote. 16Kisha tutawapa binti zetu na sisi tutawachukua binti zenu. Tutaishi kwenu na tutakuwa watu wamoja nanyi. 17Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.” 18Pendekezo lao likawa jema kwa Hamori na Shekemu mwanawe. 19Kijana mdogo, ambaye alikuwa ameheshimiwa kati ya wote walioishi nyumbani mwa baba yake, hakupoteza muda kufanya waliyoyasema, kwa sababu alikuwa amependezwa sana na binti Yakobo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.