Mwanzo 3:2
Genesis 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyoko bustanini,
Genesis 3:2 in English
Genesis 3:2 · Berean Standard Bible
The woman answered the serpent, “We may eat the fruit of the trees of the garden,
Context
1Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini ambao Bwana Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati kweli Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?” 2Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyoko bustanini, 3lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ” 4Lakini nyoka akamwambia mwanamke, “Hakika hamtakufa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.