Mwanzo 29:35
Genesis 29:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu Bwana.” Kwa hiyo akamwita Yuda.* Kisha akaacha kuzaa watoto.
Genesis 29:35 in English
Genesis 29:35 · Berean Standard Bible
And once more she conceived and gave birth to a son and said, “This time I will praise the LORD.” So she named him Judah.* Then Leah stopped having children.
Context
33Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Kwa sababu Bwana alisikia kwamba sipendwi, amenipa tena huyu mwana.” Kwa hiyo akamwita Simeoni.* 34Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Sasa afadhali mume wangu ataambatana na mimi, kwa sababu nimemzalia wana watatu.” Kwa hiyo akamwita Lawi.* 35Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu Bwana.” Kwa hiyo akamwita Yuda.* Kisha akaacha kuzaa watoto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.