Native Bible

Genesis 29:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki.

Genesis 29:1 in English

Genesis 29:1 · Berean Standard Bible

Jacob resumed his journey and came to the land of the people of the east.

Context

1Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki. 2Huko akaona kisima katika shamba, pamoja na makundi matatu ya kondoo yamelala karibu na kisima hicho kwa sababu walikuwa wanakunywa maji kutoka kwenye kisimani hicho. Jiwe lililokuwa mdomoni mwa kisima lilikuwa kubwa. 3Wakati kondoo wanapokuwa wamekusanyika hapo, wachungaji huvingirisha jiwe hilo kutoka kwenye mdomo wa kisima na kunywesha kondoo. Kisha hulirudisha jiwe mahali pake juu ya mdomo wa kisima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.