Native Bible

Genesis 28:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na nirudi salama nyumbani kwa baba yangu, hapo ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu,

Genesis 28:21 in English

Genesis 28:21 · Berean Standard Bible

so that I may return safely to my father’s house, then the LORD will be my God.

Context

19Mahali pale akapaita Betheli,* ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu. 20Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Kama Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari niendayo, akinipa chakula nile na nguo nivae 21na nirudi salama nyumbani kwa baba yangu, hapo ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu, 22nalo jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu na katika yote utakayonipa nitakutolea wewe sehemu ya kumi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.