Native Bible

Genesis 28:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mahali pale akapaita Betheli,* ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.

Genesis 28:19 in English

Genesis 28:19 · Berean Standard Bible

and he called that place Bethel,* though previously the city had been named Luz.

Context

17Kwa hiyo akaogopa, akasema, “Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ndipo nyumba ya Mungu ilipo, hili ni lango la mbinguni.” 18Asubuhi yake na mapema, Yakobo akalichukua lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo na kumimina mafuta juu yake. 19Mahali pale akapaita Betheli,* ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu. 20Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Kama Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari niendayo, akinipa chakula nile na nguo nivae 21na nirudi salama nyumbani kwa baba yangu, hapo ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.