Mwanzo 27:2
Genesis 27:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Isaki akasema, “Mimi sasa ni mzee na sijui siku ya kifo changu.
Genesis 27:2 in English
Genesis 27:2 · Berean Standard Bible
“Look,” said Isaac, “I am now old, and I do not know the day of my death.
Context
1Isaki alipokuwa mzee na macho yake yalipokuwa yamekosa nguvu asiweze kuona tena, akamwita Esau mwanawe mkubwa, akamwambia, “Mwanangu.”
Akajibu, “Mimi hapa.” 2Isaki akasema, “Mimi sasa ni mzee na sijui siku ya kifo changu. 3Sasa basi, chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukawinde nyama pori kwa ajili yangu. 4Uniandalie aina ya chakula kitamu nikipendacho uniletee nile, ili niweze kukubariki kabla sijafa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.