Native Bible

Genesis 27:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha umpelekee baba yako ale, ili apate kukubariki kabla hajafa.”

Genesis 27:10 in English

Genesis 27:10 · Berean Standard Bible

Then take it to your father to eat, so that he may bless you before he dies.”

Context

8Sasa, mwanangu, nisikilize kwa makini na ufanye yale ninayokuambia: 9Nenda sasa katika kundi ukaniletee wana-mbuzi wawili wazuri, ili niandalie chakula kitamu kwa ajili ya baba yako, kama vile anavyopenda. 10Kisha umpelekee baba yako ale, ili apate kukubariki kabla hajafa.” 11Yakobo akamwambia Rebeka mama yake, “Lakini ndugu yangu Esau ana nywele mwilini, mimi nina ngozi nyororo. 12Itakuwaje kama baba yangu akinigusa? Itaonekana kwake kama niliyemfanyia ujanja na kuleta laana juu yangu badala ya baraka.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.