Mwanzo 25:30
Genesis 25:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Esau akamwambia Yakobo, “Haraka, nipe huo mchuzi mwekundu! Nina njaa kali sana!” (Hii ndiyo sababu pia aliitwa Edomu.)*
Genesis 25:30 in English
Genesis 25:30 · Berean Standard Bible
He said to Jacob, “Let me eat some of that red stew, for I am famished.” (That is why he was also called Edom.*)
Context
28Isaki, ambaye alikuwa anapendelea zaidi nyama za porini, alimpenda Esau, bali Rebeka alimpenda Yakobo. 29Siku moja Yakobo alipika mchuzi wa dengu, Esau akarudi kutoka porini akiwa na njaa kali. 30Esau akamwambia Yakobo, “Haraka, nipe huo mchuzi mwekundu! Nina njaa kali sana!” (Hii ndiyo sababu pia aliitwa Edomu.)* 31Yakobo akamjibu, “Niuzie kwanza haki yako ya mzaliwa wa kwanza.” 32Esau akasema, “Tazama, mimi niko karibu ya kufa, itanifaa nini haki ya mzaliwa wa kwanza?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.