Mwanzo 24:57
Genesis 24:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.”
Genesis 24:57 in English
Genesis 24:57 · Berean Standard Bible
So they said, “We will call the girl and ask her opinion.”
Context
55Lakini ndugu yake Rebeka pamoja na mama yake wakajibu, “Acha binti akae kwetu siku kumi au zaidi, ndipo mwondoke.” 56Lakini yule mtumishi akawaambia, “Msinicheleweshe, kwa kuwa Bwana amefanikisha safari yangu, nipeni ruhusa nirudi kwa bwana wangu.” 57Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.” 58Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?”
Akasema, “Nitakwenda.” 59Hivyo wakamwaga ndugu yao Rebeka aondoke, pamoja na mjakazi wake, mtumishi wa Abrahamu na watu wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.