Mwanzo 24:34
Genesis 24:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo akasema, “Mimi ni mtumishi wa Abrahamu.
Genesis 24:34 in English
Genesis 24:34 · Berean Standard Bible
“I am Abraham’s servant,” he replied.
Context
32Hivyo yule mtumishi akaenda nyumbani, mizigo ikaondolewa juu ya ngamia. Majani na malisho yakaletwa kwa ajili ya ngamia na maji kwa ajili yake na watu wake ili kunawa miguu. 33Ndipo chakula kikaandaliwa kwa ajili yake, lakini akasema, “Sitakula mpaka niwe nimewaambia yale niliyo nayo ya kusema.”
Labani akasema, “Basi tuambie.” 34Hivyo akasema, “Mimi ni mtumishi wa Abrahamu. 35Bwana amembariki sana bwana wangu, amekuwa tajiri. Amempa kondoo na ngʼombe, fedha na dhahabu, watumishi wa kiume na wa kike, ngamia na punda. 36Sara mkewe bwana wangu amemzalia mwana katika uzee wake, naye amempa kila kitu alichokuwa nacho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.