Native Bible

Genesis 22:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:

Genesis 22:20 in English

Genesis 22:20 · Berean Standard Bible

Some time later, Abraham was told, “Milcah has also borne sons to your brother Nahor:

Context

18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.” 19Ndipo Abrahamu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wakaenda wote pamoja mpaka Beer-Sheba. Abrahamu akaishi huko Beer-Sheba. 20Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana: 21Usi mzaliwa wake wa kwanza, Buzi nduguye, Kemueli (baba wa Aramu), 22Kesedi, Hazo, Pildashi, Yidlafu na Bethueli.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.