Native Bible

Genesis 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Abrahamu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wakaenda wote pamoja mpaka Beer-Sheba. Abrahamu akaishi huko Beer-Sheba.

Genesis 22:19 in English

Genesis 22:19 · Berean Standard Bible

Abraham went back to his servants, and they got up and set out together for Beersheba. And Abraham settled in Beersheba.

Context

17hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao, 18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.” 19Ndipo Abrahamu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wakaenda wote pamoja mpaka Beer-Sheba. Abrahamu akaishi huko Beer-Sheba. 20Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana: 21Usi mzaliwa wake wa kwanza, Buzi nduguye, Kemueli (baba wa Aramu),

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.