Native Bible

Genesis 20:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Abrahamu akamwomba Mungu, naye Mungu akamponya Abimeleki, mke wake, na watumwa wake wa kike kwamba waweze kupata watoto tena,

Genesis 20:17 in English

Genesis 20:17 · Berean Standard Bible

Then Abraham prayed to God, and God healed Abimelech and his wife and his maidservants, so that they could again bear children—

Context

15Abimeleki akasema, “Nchi yangu iko mbele yako, ishi popote unapotaka.” 16Akamwambia Sara, “Ninampa kaka yako shekeli elfu moja za fedha. Hii ni kufidia kosa lililofanyika dhidi yako mbele ya wote walio pamoja nawe; haki yako imethibitishwa kabisa.” 17Kisha Abrahamu akamwomba Mungu, naye Mungu akamponya Abimeleki, mke wake, na watumwa wake wa kike kwamba waweze kupata watoto tena, 18kwa kuwa Bwana alikuwa ameyafunga matumbo ya wote katika nyumba ya Abimeleki kwa sababu ya Sara, mke wa Abrahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.