Mwanzo 19:37
Genesis 19:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina lake Moabu; ndio baba wa Wamoabu hata leo.
Genesis 19:37 in English
Genesis 19:37 · Berean Standard Bible
The older daughter gave birth to a son and named him Moab.* He is the father of the Moabites of today.
Context
35Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo tena usiku ule, naye binti yake mdogo akaingia, akakutana naye kimwili. Kwa mara nyingine baba yao hakujua binti yake alipolala naye wala alipoondoka. 36Hivyo binti wawili wa Loti wakapata mimba kwa baba yao. 37Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina lake Moabu; ndio baba wa Wamoabu hata leo. 38Binti mdogo naye pia akamzaa mwana, naye akamwita Benami; ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.