Native Bible

Genesis 19:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo binti wawili wa Loti wakapata mimba kwa baba yao.

Genesis 19:36 in English

Genesis 19:36 · Berean Standard Bible

Thus both of Lot’s daughters became pregnant by their father.

Context

34Siku iliyofuata binti mkubwa akamwambia yule mdogo, “Usiku uliopita mimi nilikutana kimwili na baba yangu. Tumnyweshe divai tena, usiku huu nawe ukutane naye kimwili ili tuweze kuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.” 35Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo tena usiku ule, naye binti yake mdogo akaingia, akakutana naye kimwili. Kwa mara nyingine baba yao hakujua binti yake alipolala naye wala alipoondoka. 36Hivyo binti wawili wa Loti wakapata mimba kwa baba yao. 37Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina lake Moabu; ndio baba wa Wamoabu hata leo. 38Binti mdogo naye pia akamzaa mwana, naye akamwita Benami; ndiye baba wa Waamoni hata leo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.