Native Bible

Genesis 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamtokea Abrahamu karibu na mialoni ya Mamre wakati alipokuwa ameketi kwenye ingilio la hema lake wakati wa adhuhuri.

Genesis 18:1 in English

Genesis 18:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD appeared to Abraham by the Oaks * of Mamre in the heat of the day, while he was sitting at the entrance of his tent.

Context

1Bwana akamtokea Abrahamu karibu na mialoni ya Mamre wakati alipokuwa ameketi kwenye ingilio la hema lake wakati wa adhuhuri. 2Abrahamu akainua macho akaona watu watatu wamesimama karibu naye. Alipowaona, aliharakisha kutoka kwenye ingilio la hema lake kuwalaki na kuwasujudia hadi nchi. 3Akasema, “Kama nimepata kibali machoni penu, ee bwana wangu, usimpite mtumishi wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.