Native Bible

Galatians 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na kongwa la utumwa.

Galatians 5:1 in English

Galatians 5:1 · Berean Standard Bible

It is for freedom that Christ has set us free. Stand firm, then, and do not be encumbered once more by a yoke of slavery.

Context

1Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na kongwa la utumwa. 2Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Kristo hatawafaidia chochote. 3Namshuhudia tena kila mtu anayekubali kutahiriwa kwamba inampasa kushika sheria yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.