Wagalatia 4:16
Galatians 4:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia kweli?
Galatians 4:16 in English
Galatians 4:16 · Berean Standard Bible
Have I now become your enemy by telling you the truth?
Context
14Ingawa hali yangu iliwatia majaribuni, hamkunidharau wala kunidhihaki, bali mlinikaribisha kama malaika wa Mungu, kama vile Kristo Yesu. 15Ile hali ya furaha mliyokuwa nayo imekwenda wapi? Naweza kushuhudia kwamba, kama ingewezekana mngengʼoa macho yenu na kunipa mimi. 16Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia kweli? 17Hao wana shauku ya kuwapata lakini si kwa kusudi zuri. Wanachotaka ni kuwatenga mbali nasi, ili ninyi mpate kuwaonea wao shauku. 18Ni vizuri wakati wote kuwa na shauku kwa ajili ya kusudi zuri, si wakati nikiwa pamoja nanyi tu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.