Native Bible

Galatians 4:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.

Galatians 4:13 in English

Galatians 4:13 · Berean Standard Bible

You know that it was because of an illness that I first preached the gospel to you.

Context

11Nina hofu juu yenu, kwamba kazi niliyofanya kwa ajili yenu inaweza kuwa nimejitaabisha bure. 12Ndugu zangu, nawasihi mwe kama mimi, kwa sababu mimi nimekuwa kama ninyi. Hamkunitendea jambo lolote baya. 13Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili. 14Ingawa hali yangu iliwatia majaribuni, hamkunidharau wala kunidhihaki, bali mlinikaribisha kama malaika wa Mungu, kama vile Kristo Yesu. 15Ile hali ya furaha mliyokuwa nayo imekwenda wapi? Naweza kushuhudia kwamba, kama ingewezekana mngengʼoa macho yenu na kunipa mimi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.