Wagalatia 4:10
Galatians 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mnaadhimisha siku maalum, miezi, nyakati na miaka!
Galatians 4:10 in English
Galatians 4:10 · Berean Standard Bible
You are observing special days and months and seasons and years!
Context
8Zamani, mlipokuwa hammjui Mungu, mlikuwa watumwa wa viumbe ambavyo kwa asili si Mungu. 9Lakini sasa kwa kuwa mmemjua Mungu, au zaidi mmejulikana na Mungu, inakuwaje mnarejea tena katika zile kanuni za kwanza zenye udhaifu na upungufu? Mnataka ziwafanye tena watumwa? 10Mnaadhimisha siku maalum, miezi, nyakati na miaka! 11Nina hofu juu yenu, kwamba kazi niliyofanya kwa ajili yenu inaweza kuwa nimejitaabisha bure. 12Ndugu zangu, nawasihi mwe kama mimi, kwa sababu mimi nimekuwa kama ninyi. Hamkunitendea jambo lolote baya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.