Ezekieli 6:2
Ezekiel 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake
Ezekiel 6:2 in English
Ezekiel 6:2 · Berean Standard Bible
“Son of man, set your face against the mountains of Israel and prophesy against them.
Context
1Neno la Bwana likanijia kusema, 2“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake 3na useme: ‘Ee milima ya Israeli, sikia neno la Bwana Mwenyezi. Hili ndilo Bwana Mwenyezi aliambiayo milima na vilima, magenge na mabonde: Ninakaribia kuleta upanga dhidi yenu, nami nitapaharibu mahali penu pote pa juu pa kuabudia miungu. 4Madhabahu yenu yatabomolewa na madhabahu yenu ya kufukizia uvumba yatavunjavunjwa, nami nitawachinja watu wenu mbele ya sanamu zenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.