Native Bible

Ezekiel 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno la Bwana likanijia kusema,

Ezekiel 6:1 in English

Ezekiel 6:1 · Berean Standard Bible

And the word of the LORD came to me, saying,

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema, 2“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake 3na useme: ‘Ee milima ya Israeli, sikia neno la Bwana Mwenyezi. Hili ndilo Bwana Mwenyezi aliambiayo milima na vilima, magenge na mabonde: Ninakaribia kuleta upanga dhidi yenu, nami nitapaharibu mahali penu pote pa juu pa kuabudia miungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.