Ezekieli 47:23
Ezekiel 47:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika kabila lolote mgeni atakapoishi hapo ndipo mtakapompatia urithi wake,” asema Bwana Mwenyezi.
Ezekiel 47:23 in English
Ezekiel 47:23 · Berean Standard Bible
In whatever tribe a foreigner dwells, you are to assign his inheritance there,” declares the Lord GOD.
Context
21“Mtagawanya nchi hii miongoni mwenu kufuatana na makabila ya Israeli. 22Mtaigawanya kuwa urithi kwa ajili yenu na kwa ajili ya wageni wanaoishi miongoni mwenu na ambao wana watoto. Wao watakuwa kwenu kama wenyeji wazawa wa Israeli, pamoja na ninyi watagawiwa urithi miongoni mwa makabila ya Israeli. 23Katika kabila lolote mgeni atakapoishi hapo ndipo mtakapompatia urithi wake,” asema Bwana Mwenyezi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.