Ezekieli 45:12
Ezekiel 45:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shekeli moja itakuwa gera ishirini.* Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.*
Ezekiel 45:12 in English
Ezekiel 45:12 · Berean Standard Bible
The shekel will consist of twenty gerahs.* Twenty shekels plus twenty-five shekels plus fifteen shekels will equal one mina.*
Context
10Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa* na bathi.* 11Efa na bathi viwe sawa, bathi iwe sehemu ya kumi ya homeri na efa iwe sehemu ya kumi ya homeri, homeri itakuwa ndicho kiwango cha kukubalika kwa vyote viwili. 12Shekeli moja itakuwa gera ishirini.* Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.* 13“ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano na moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri. 14Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja* (ambayo ina bathi kumi au homeri moja.)
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.