Native Bible

Ezekiel 45:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Mtakapogawa nchi kuwa urithi, mtaitoa sehemu ya nchi kwa Bwana kuwa eneo takatifu, urefu wake dhiraa 25,000,* upana wake dhiraa 20,000* eneo hili lote litakuwa takatifu.

Ezekiel 45:1 in English

Ezekiel 45:1 · Berean Standard Bible

“When you divide the land by lot as an inheritance, you are to set aside a portion for the LORD, a holy portion of the land 25,000 cubits long and 20,000 cubits wide.* This entire tract of land will be holy.

Context

1“ ‘Mtakapogawa nchi kuwa urithi, mtaitoa sehemu ya nchi kwa Bwana kuwa eneo takatifu, urefu wake dhiraa 25,000,* upana wake dhiraa 20,000* eneo hili lote litakuwa takatifu. 2Katika hiyo, itakuwepo sehemu mraba ambayo ni mahali patakatifu kila upande dhiraa 500 ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini. 3Katika eneo takatifu, pima sehemu yenye urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000.* Ndani ya hilo eneo kutakuwa mahali patakatifu, Patakatifu pa Patakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.